Kama ilivyo kawaida yetu tunakuletea baadhi ya matukio katika picha za Mc wako Christina Matai akiwa mshereheshaji katika kitchen party ya bibi harusi mtarajiwa VILDENAUNDA LOYSHA iliyo fanyika katika ukumbi wa NADDS HALL..
Nazifuatazo ni baadhi ya Picha.. MC wako christina akiwa Ukumbini
Mc Christina Matai akiwa ukumbini |
JIKO |
Dinning table |
NADDS HALL |
Kitanda safi kabisa pia ilikuwa zawadi yake |
zawadi za bi vildenaunda loysha akiwa amepata vyombo vya jikoni. |
No comments:
Post a Comment