WAJUE UPENDO FAMILY GROUP
NAJISKIA FURAHA SANA KUWA ADMIN WA WATU HAWA WATHAMANI NAMNA HII..
Upendo Family Group ilianza tarehe 25/04/2014 kwa lengo la kusaidiana katika shida na raha, Kuhubiri injili ya Yesu kristo pamoja na malengo mengi makubwa.
Tarehe 25/04/2015 tunatimiza mwaka mmoja ambapo tumepanga kwenda kutembelea watoto yatima kwenye kituo cha Sifa Foundation huko Tegeta jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wana Upendo Family ni hawa wafuatao;-
Chritina Matai |
Celline Cholobi |
Edna Kuja |
Ng'hatilwa Matonya |
Gwantwa Mwankemwa |
David Chaula |
William |
Yared Ndolosi |
Pamela Mboma |
Bupe kyara |
Emmanuel Kayamba |
Jane Fussi |
Lillian Kimola |
Magdalena |
Noel Migongo |
Joyner Msuya |
Joyce |
Glory Kadeghe |
Lillian Lustica |
Mary chulle |
Martha Lucas |
Debora T. Mrema |
Esther Ngowi |
Nelia Pamoja na hayo Upendo Family tuliukaribisha mwaka 2015 kwa kumshukuru mungu kutuvusha salama tukiwa wazima na wenye afya tele pia. |
Christina Matai Group admin wa Upendo Family |
Keki ya wana Upendo Family kutoka kwa Lucy Maroda almaarufu kama Shalom Cakes... |
Ester nae hakuwa nyuma kwenye kujinyakulia kipande cha keki cha saizi yake |
wana Upendo Family wakiwa kwenye pozi la picha... |
champaign nazo zilikuwepo katika kuupokea mwaka 2015.. |
Add caption |
Wana Upendo Family wakiwa tayari kwa Picha ya kumbukumbu baada ya kila mmoja kupokea zawadi yake ya mwaka mpya |
picha ziliendelea kwa ajili ya ukumbusho zaidi |
Chritina Matai |
zambarau pia zilikuwepo kwenye kuukaribisha mwaka |
na hawa ndio wana Upendo Family tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka huu tena 2015. |
No comments:
Post a Comment