Sunday, April 26, 2015

KITCHEN PARTY YA BI.VILDENAUNDA LOYSHA

Kama ilivyo kawaida yetu tunakuletea baadhi ya matukio katika  picha za Mc wako Christina Matai akiwa mshereheshaji katika kitchen party ya bibi harusi mtarajiwa VILDENAUNDA LOYSHA iliyo fanyika katika ukumbi wa NADDS HALL.. 

Nazifuatazo ni baadhi ya Picha.. MC wako christina akiwa Ukumbini



Mc Christina Matai akiwa ukumbini
                                              





JIKO

Dinning table 


NADDS HALL

Kitanda safi kabisa pia ilikuwa zawadi yake


zawadi za bi vildenaunda loysha akiwa amepata vyombo vya jikoni.

Thursday, March 26, 2015

WAJUE UPENDO FAMILY GROUP 


NAJISKIA FURAHA SANA KUWA ADMIN WA WATU HAWA WATHAMANI NAMNA HII..

Upendo Family Group ilianza tarehe 25/04/2014 kwa lengo la kusaidiana katika shida na raha, Kuhubiri injili ya Yesu kristo pamoja na malengo mengi makubwa.


Tarehe 25/04/2015 tunatimiza mwaka mmoja ambapo tumepanga kwenda kutembelea watoto yatima kwenye kituo cha Sifa Foundation huko Tegeta jijini Dar es salaam. 


Baadhi ya wana Upendo Family ni hawa wafuatao;-


Chritina Matai 

Celline Cholobi

Edna Kuja

Ng'hatilwa Matonya

Gwantwa Mwankemwa

David Chaula
William

Yared Ndolosi

Pamela Mboma

Bupe kyara
Emmanuel Kayamba


Jane Fussi

Lillian Kimola

Magdalena

Noel Migongo

Joyner Msuya

Joyce

Glory Kadeghe

Lillian Lustica

Mary chulle

Martha Lucas
Debora T. Mrema

Esther Ngowi

Nelia 

Pamoja na hayo Upendo Family tuliukaribisha mwaka 2015 kwa kumshukuru mungu kutuvusha salama tukiwa wazima na wenye afya tele pia.

Christina Matai Group admin wa Upendo Family









Keki ya wana Upendo Family kutoka kwa Lucy Maroda almaarufu kama Shalom Cakes... 
Ester nae hakuwa nyuma kwenye kujinyakulia kipande cha keki cha saizi yake 



wana Upendo Family wakiwa kwenye pozi la picha...







champaign nazo zilikuwepo katika kuupokea mwaka 2015.. 


Add caption
Wana Upendo Family wakiwa tayari kwa Picha ya kumbukumbu baada ya kila mmoja kupokea zawadi yake ya mwaka mpya
picha ziliendelea kwa ajili ya ukumbusho zaidi


Chritina Matai
zambarau pia zilikuwepo kwenye kuukaribisha mwaka



  
na hawa ndio wana Upendo Family tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka huu tena 2015.